Marumo washuka daraja Afrika kusini - EDUSPORTSTZ

Latest

Marumo washuka daraja Afrika kusini

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Marumo Gallants kutoka ligi kuu ya Afrika Kusini wameshuka daraja baada ya kupoteza mchezo wao wa mwisho wa ligi Kuu dhidi ya Swallows kwa kufungwa Magoli 2-


Katika mchezo huo uliopigwa jana, Marumo walihitaji ushindi ili wafikishe alama 32 ambapo zingewaweka salama


Timu hiyo iliwashangaza wengi kwa kufanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika lakini safari yao ikaishia mikononi mwa Yanga kwa kuchabangwa jumla ya mabao 4-1 katika mechi zote mbili za nusu fainali


Marumo na Mameloi Sundowns zimeondoshwa katika mashindano ya CAF hatua ya nusu fainali


Mamelodi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa waliondoshwa na Wydad Athletic kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani


Mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Morocco ulimalizika kwa suluhu ya bila kufunganaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz