Yanga vs Geita Gold kupigwa saa 2 usiku - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga vs Geita Gold kupigwa saa 2 usiku

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold, utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi saa 2 usiku


Yanga ndio wenyeji wa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi, April 08 Wananchi wakihitaji ushindi ili kukata tiketi ya kutinga nusu fainali ya michuano hiyo


Kikosi cha Yanga kiliingia kambini jana kukamilisha maandalizi ya yake


Yanga inajifua ikiwa na kikosi kamili kinachowajumuisha wachezaji kama Bernard Morrison, Denis Nkane waliorejea baada ya kupona majerahaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz