Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wakala wa mahambuliaji kinara wa mabao Ligi Kuu Soka Tanzania bara, Fiston Mayele amekanusha uvumi wote kwamba amepokea ofa kutoka katika vilabu mbalimbali kwa mchezaji wake. Kwa siku kadhaa kumeibuka taarifa zinazodai Klabu ya Al Hilal ya Sudan inayonolewa na Mkongo Florent Ibenge wanamuhitaji mchezaji huyo.
Post a Comment