PICHA: Sane aonekana akiwa amevimba mdomo baada ya kupigwa ngumi na Sadio Mane - EDUSPORTSTZ

Latest

PICHA: Sane aonekana akiwa amevimba mdomo baada ya kupigwa ngumi na Sadio Mane

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Picha za kwanza zinazoonesha kuwa Leroy Sane alipigwa ngumi ya mdomo na Sadio Mane Jumanne iliyopita.


Siku kadhaa nyuma kulitokea taarifa ya kuwa wawili hao walikwaruzana katika vyumba vya kunadilishia nguo baada ya kichapo cha magoli 3-0 kutoka kwa Man City Robo Fainali UEFA.


Mane amesimamishwa mchezo mmoja kama adhabu na aliomba radhi kwa mashabiki na kwa Sane na yalikwisha.


Tazama Picha zaidi hapa chini;

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz