Ufungaji wa VAR uwanja wa Mkapa wakamilika - EDUSPORTSTZ

Latest

Ufungaji wa VAR uwanja wa Mkapa wakamilika

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Teknolojia ya usaidizi kwa waamuzi (VAR) tayari imewekwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa kuelekea michezo ya robo fainali ya Kombe la shirikisho na klabu bingwa barani Afrika.


Leo Uwanja huo utahodhi mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco

Kwa mujibu wa CAF, michezo kuanzia hatua ya Robo Fainali Teknolojia ya VAR inaanza kutumika.

Mechi Itakuwa LIVE buree kabisa kwenye app yetu bofya hapa kuidownload sasa kutoka Play storeDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz