Mo Ainogesha mechi ya Simba vs Wydad Athletic - EDUSPORTSTZ

Latest

Mo Ainogesha mechi ya Simba vs Wydad Athletic

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Jana jioni mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' alikutana na wachezaji na benchi la ufundi kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wydad Athletic ambao utapigwa leo saa 10 jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa


Kauli kubwa aliyoitoa Mo kwenye kikao hicho ni kuwahamasisha wachezaji kuhakikisha wanapata ushindi siku ya leo


Kuna donge nono limeahidiwa kwa wachezaji kama wataweza kuiondosha Wydad Athletic na kuweza kutinga nusu fainali


Safari ya kuisaka nusu fainali inaanza leo dimba la Mkapa na itakwenda kuhitimishwa wiki ijayo April 29 huko Morocco

Mechi Itakuwa LIVE buree kabisa kwenye app yetu bofya hapa kuidownload sasa kutoka Play storeDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz