Metacha Mnata aingia kwenye kikosi Bora Cha wiki kombe la shirikisho - EDUSPORTSTZ

Latest

Metacha Mnata aingia kwenye kikosi Bora Cha wiki kombe la shirikisho

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata amejumuishwa katika kikosi bora cha wiki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya mechi za raundi ya sita


Metacha alikuwa langoni wakati Yanga ikichuana na TP Mazembe katika mchezo uliopigwa huko Lubumbashi jana


Metacha alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo huo akihakikisha Wananchi wanaondoka na ushindi muhimu wa bao 1-0 uliowafanya wamalize kileleni mwa kundi D


Hiyo ilikuwa mechi yake ya kwanza kucheza katika michuano hiyo akichukua nafasi ya Djigui Diarra aliyekuwa akitumikia adhabu ya kadi mbili za njano
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz