Man United wapata pigo jingine wakijiandaa na mchezo wa marudiano na sevilla - EDUSPORTSTZ

Latest

Man United wapata pigo jingine wakijiandaa na mchezo wa marudiano na sevilla

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Manchester United itamkosa Bruno Fernandes kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Sevilla kutokana na Kiungo huyo wa Ureno kutumikia adhabu ya kadi mbili za njano.


Baadhi ya nyota ambao Manchester United wanaweza kuwakosa kwenye mchezo wa marudiano ni Marcus Rashford, Luke Shaw, Lisandro Martinez na Raphaël Varane hawa wote ni majeruhi.


Hali hiyo inampa wakati mgumu Kocha Ten Hag katika harakati za kutafuta Ubingwa wake wa kwanza wa Ulaya akiwa na Man United.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz