Huenda Mkude akaachana na Simba msimu Huu - EDUSPORTSTZ

Latest

Huenda Mkude akaachana na Simba msimu Huu

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kiungo wa Simba Jonas Mkude kwa sasa imekuwa sio rahisi kwake kupata nafasi ya kutumika kwenye kikosi cha kwanza


Wakati mkataba wake na Simba ukielekea ukingoni mwishoni mwa msimu, ni wazi 'legendary' huyu zama zake na Simba zinaelekea mwisho


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema Mkude yuko fit na anashiriki program za mazoezi Mo Simba Arena lakini amekuwa hachezi kutokana na sababu za kiufundi


Hajaweza kumshawishi Kocha Robertinho Oliveira ambaye katika nafasi ya kiungo mkabaji huwatumia zaidi Mzamiru Yassin, Sadio Kanoute na Ismail Sawadogo ambaye hata hivyo nae amepoteza nafasi yake mapema tu tangu alipotua kwenye dirisha dogo


Mkude ndiye mchezaji aliyedumu zaidi kwenye kikosi cha Simba, yuko na wekundu wa Msimbazi kwa zaidi ya miaka 13



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz