Barcelona kuvaana na Real Madrid nusu Fainali Copa del Rey - EDUSPORTSTZ

Latest

Barcelona kuvaana na Real Madrid nusu Fainali Copa del Rey


 Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mechi ya nne ya El Clasico 2023 inapigwa leo Jumatano usiku Barcelona wakiwakaribisha Real Madrid katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya Copa del Rey


Wacatalunya hao walipata faida ndogo ya 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza, bao la kujifunga la Eder Militao


Wababe hao wa soka la Uhispania wamekutana mara tatu msimu huu Barcelona ikishinda mechi zote


Mechi ya mwisho iliyozikutanisha timu hizo ni La Liga Barca ikiibuka na ushindi wa 2-1 katika ardhi ya nyumbani 


Kikosi cha Xavi kwa sasa kiko mbele kwa pointi 12 kileleni, na pande zote mbili zinakwenda kwenye mkondo wa pili siku ya Jumatano baada ya ushindi mnono wa ligiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz