Fiston Mayele aweka Rekodi ya Kibabe Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Fiston Mayele aweka Rekodi ya Kibabe Yanga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amefikisha mabao 50 katika mashindano yote tangu alipojiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara mwaka 2021


Jana Mayele alifunga bal lake la 49 na 50 katika uwanja wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya kombe la Shirikisho la CAF


Msimu huu Mayele amefunga mabao 31 katika mashindano yote wakati msimu uliopita alifunga mabao 19


Ndiye kinara wa ufungaji katika ligi kuu ya NBC akiwa na mabao 16 pia akiongoza mbio za kuwania ufungaji bora kombe la Shirikisho akiwa na mabao 5


Kwa hakika Wananchi wanajivunia, mmoja ya washambuliaji bora kabisa kuwa kuwahi kutumikia YangaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz