Singida Big star yaingia makubaliano maalumu na Us Monastri ishu nzima Iko hivi !!! - EDUSPORTSTZ

Latest

Singida Big star yaingia makubaliano maalumu na Us Monastri ishu nzima Iko hivi !!!

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
 
Klabu ya Singida Big Stars leo Machi 20, 2023 imeingia makubaliano na Klabu ya US Monastir ya Tunisia kwa ajili ya kushirikiana masuala mbalimbali ya soka.


Katika makubaliano hayo yaliyowekwa saini jijini Dar es Salaam, yatagusa mambo ya kiutawala ambapo klabu ya Us Monastir watawapa Singida Big Stars uzoefu wa masuala ya uendeshaji, maandalizi ya msimu (Pre-Season) ambapo klabu ya Singida Big Stars itakuwa ikiweka kambi nchini Tunisia.


Makubaliano hayo pia yatagusa wachezaji wa timu kubwa na ile ya U20


US Monastir walikuwa nchini kuchuana na Yanga katika mchezo wa kombe la Shirikisho ambao walichapwa mabao 2-0 hapo jana


Timu hiyo inatarajiwa kuondoka nchini leoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz