Haya hapa Matokeo ya Yanga Princess vs Simba Queens leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Haya hapa Matokeo ya Yanga Princess vs Simba Queens leo


 
Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mtanange wa watani wa jadi kwa upande wa kinadada Yanga Princess dhidi ya Simba Queens uliopigwa uwanja wa Uhuru, umemalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1


Yanga Princess ililazimika kutokea nyuma kusawazisha kwenye kipindi cha pili kupitia kwa Wogu Succsess


Pamoja na kuwa Yanga Princess ilizihitaji alama zote tatu ili kupunguza gap la pointi dhidi ya watani zao, lakini sare hii imelinda heshima ya kutopteza mchezo dhidi ya Simba Queens msimu huu


Katika misimu miwili sasa, Yanga Princess haijapoteza mchezo dhidi ya Simba QueensDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz