Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Bao la mpira wa adhabu lililofungwa na Clatous Chama wa Simba kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Horoya Ac limechaguliwa kuwa goli bora la wiki
Kwa upande wa mchezaji bora wa wiki, Mahmoud Kahraba ameshinda tuzo hiyo akipata kura asilimia 49 dhidi ya asilimia 43 alizopata Chama
Mchuano ambanao ulikuwa mkali kwelikweli huko Twitter lakini ni wazi mashabiki wa Al Ahly walihamasishana dakika za majeruhi na kumuwezesha mchezaji wao kushinda
Klabu ya Simba imetoa wachezaji wanne katika kikosi cha wiki cha CAF, pia ikitoa goli bora la wiki
No comments:
Post a Comment