Hawa hapa wachezaji wa Yanga watakao ikosa mechi ya Tp mazembe - EDUSPORTSTZ

Latest

Hawa hapa wachezaji wa Yanga watakao ikosa mechi ya Tp mazembe

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mlinda lango namba mbili wa Yanga Metacha Mnata anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya TP Mazembe April 02


Djigui Diarra ambaye alidaka mechi zote tano za hatua ya makundi, hatakuwa sehemu ya kikosi akitumikia kadi mbili za njano


Diarra alionyeshwa kadi za njano katika michezo dhidi ya Real Bamako na US Monastir na hivyo kulingana na kanuni za mashindano ya CAF, atawakosa TP Mazembe


Lakini pia mlinzi wa kulia Djuma Shaban 'Soldier ya Bemba' na kiungo Khalid Aucho watakosa mchezo huo kutokana na kadi za njano


Yanga inahitaji kushinda mchezo dhidi ya TP Mazembe ili kuwa na nafasi nzuri ya kumaliza vinara wa kundi D



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz