Mayele ashinda Goli la wiki shirikisho - EDUSPORTSTZ

Latest

Mayele ashinda Goli la wiki shirikisho

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ameibuka mshindi wa goli la wiki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, raundi ya tano


Mayele ameshinda tuzo hiyo kupitia goli alilofunga kwenye mchezo dhidi ya US Monastir uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0


Lilikuwa bao la pili akipiga shuti kali baada ya kupokea pasi murua kutoka kwa Kennedy Musonda akiwa nje kidogo ya 18


Lilikuwa bao lake la tatu kwenye hatua ya makundi michuano ya kombe Shirikisho barani Afrika


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz