SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

KLABU ya Simba SC imeingia Mkataba wa miaka miwili wa Bima ya Afya kwa wachezaji, benchi la ufundi na menejimenti ya Simba na Kampuni ya Bima ya MO Assurance kwa kipindi miaka miwili wenye thamani ya Tsh. 250 milioni.

SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

Akizunguza Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally, amesema kuwa Ili upate ufanisi wa mtu kwenye kufanya kazi ni lazima awe huru kwenye malazi, yeye mwenyewe kuugua au watu wanaomzunguka, Sasa ili kuwafanya wafanyakazi wa Simba kuwa kwenye ufanisi wao, leo tumewaletea bima ya kushughulika na afya zao.

CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez, yeye amesema kuwa lengo kuu ni kuhakikisha wafanyakazi wote wanakuwa na bima ya afya.SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance

“Leo tunaingia mkataba wa bima na Mo Assurance, watakuwa wanatoa bima kwa wachezaji wote, benchi la ufundi na menejimenti. Lakini pia hakuna gharama yoyote kwa upande wa Simba. Kama Simba tunajivunia sana.”

Naye Nkurugenzi wa masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji amesema kuwa “Wote tunafahamu katika maisha ya mwanadamu afya ni muhimu sana, kwa kutambua hilo Mo Assurance imekuja na habari njema kwa wachezaji wote wa Simba, benchi la ufundi, menejimenti pamoja na familia zao”.

CEO wa Mo Assurance, Gregory Fortes amesema kuwa “Sisi kama kampuni tumeamua kutoa bima ya afya, kuna aina tofauti kama watu wanaolazwa, wanaokwenda kutibiwa na kurudi nyumbani na mambo mengine madogo madogo kama matatizo ya meno, macho lakini pia tumeongeza huduma ya majeraha yanayotokana na michezo.

The post SIMBA yasaini mkataba na Mo Assurance appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz