KAZE Siku 10 tunacheza mechi 4 | Wawili kuikosa Geita Gold - EDUSPORTSTZ

Latest

KAZE Siku 10 tunacheza mechi 4 | Wawili kuikosa Geita Gold

KAZE Siku 10 tunacheza mechi 4 | Wawili kuikosa Geita Gold

KAZE Siku 10 tunacheza mechi 4 | Wawili kuikosa Geita Gold

Geita Gold FC vs Yanga, Geita Gold FC vs Yanga SC October 29 2022, Yanga SC vs Geita Gold FC NBC Premier League 2022/2023, Matokeo Yanga vs Geita Gold October 29 2022, Young Africans SC vs Geita FC October 29 2022, Magoli waliyofunga Yanga vs Geita, Msimamo wa Ligi, Yanga vs Geita Mechi walizokutana, Head to head Yanga vs Geita Gold, Yanga vs Geita CCM Kirumba.Yanga SC vs Geita, Yanga vs Geita, Matokeo Yanga vs Geita leo, Geita vs Yanga leo, LIVE Yanga SC Geita, Live Yanga vs Geita Gold October 29 2022, Yanga vs Geita, Geita vs Yanga, Yanga SC vs Geita Gold.

KAZE Siku 10 tunacheza mechi 4 | Wawili kuikosa Geita Gold

KAZE Siku 10 tunacheza mechi 4 | Wawili kuikosa Geita Gold

KUELEKEA Mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold, Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Cedric Kaze amezungumza na waandishi wa Habari Jijini Mwanza.

Kaze amesema kuwa hawaingii kwenye mchezo wakiwa na mawazo ya rekodi ya kutokufungwa. Lengo ni kubeba kombe, kitu kikubwa ni kutafuta alama 3 kwenye kila mchezo ili kuongeza ‘gape’ la pointi kati ya Yanga na wapinzani weke.

Kaze ameongeza kuwa ni Changamoto sana kwenye hii ratiba. Kwa siku 10 Yanga inatakiwa kucheza mechi 4, hakuna mwili wa mwanadamu unaweza kuwa fiti kwa ratiba hiyo.

Kaze pia amesema kuwa watapamba kuweka mzunguko wa Wachezaji wakiangalia namna nzuri ya kubaki na kiwango kilekile ili wawe kwenye nafasi ya kupata pointi 3 muhimu.

Kaze pia amethibitiha kuwakosa Wachezaji Wawili kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold, Beki na Nahodha Bakari Mwamnyeto ataukoza mchezo huo kutokana na matatizo ya kifamilia huku Khalid Aucho akiwa majeruhi.

Habari njema kwa Wananchi ni kurejea kwa Mshambuliaji wao kinara Fiston Mayele, beki Joyce Lomalisa na Shaban Djuma ambao wanaweza kutumika kesho kutokana na mapendekezo ya benchi la Ufundi.

Mchezo huo unatajiwa kupigwa kesho Jumamosi saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ambapo Nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari pia itakuletea Kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Geita Gold FC.

KUONA Kikosi Cha Young Africans dhidi ya Geita Gold Bofya HAPA na kuona Matokeo ya Mchezo huo pamoja na takwimu mbalimbali za timu hizo Bofya HAPA.

Aidha kuelekea mchezo Klabu ya Geita Gold ambao ndio wenyeji wa mchezo huo imeweka wazi Viingilio vya mchezo huo wa kesho Jumamosi ya October 29 2022.

Viingilio hivo vitakuwa ni Tsh 5,000 kwa Mzunguko, 10,000 kwa VIP C, huku VIP B ikiwa Tsh 15,000 na Tsh 20,000 kwa VIP A.

Aidha tikeki za Mchezo zinapatikana katika Vituo vya TTCL, G Twins shine Mkoani na Twist Sports Wold (Soko la Dhahabu) kwa walioko Mkoani Geita.

Wale wa Mwanza tiketi hizo zinapatikana kwenye Vituo vya TTCL – Nyamagana, Buzuruga Blaza, Kituo cha Daladala Dampo, Uwanja wa CCM Kirumba, na Nyegezi Stand ya Mabasi.

The post KAZE Siku 10 tunacheza mechi 4 | Wawili kuikosa Geita Gold appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz