RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022 - EDUSPORTSTZ

Latest

RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022

RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022

RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022

Ratiba ya World Cup 2022, World Cup Fixtures 2022, world cup fixtures 2022 groups, world cup 2022, dates and times, Makundi ya Kombe la Dunia 2022, Makundi Kombe la Dunia 2022, Makundi world cup 2022, world cup table, world cup 2022 qualifiers, world cup 2022 groups.

RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022

RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022

SHIRIKISHO la Soka Duniani FIFA limetoa ratiba Kamili ya Fainali za Kombe la Dunia 2022 zitakazopigwa nchini Qatar, ambapo michezo minne itachezwa kwa siku, na hatua ya Fainali itafanyika wiki moja kabla ya Siku Kuu ya Noeli (Krismasi).

Michuano hiyo Mikubwa ya Soka Duniani imepangwa kuanza kurindima November 21, 2022 na hii itakua mara ya kwanza Fainali za Kombe la Dunia kufanyika kipindi cha Majira ya Baridi kwa nchi za Ulaya.

RATIBA KAMILI YA KOMBE LA DUNIA QATAR 2022

Kwa mara ya kwanza kwenye Michuano hiyo, Mashabiki watashuhudia Michezo Minne kwa siku, ambapo mchezo wa kwanza utakuwa unachezwa saa 7 mchana, wa pili saa 10 jioni, watatu saa 1 usiku huku wa nne saa 4 usiku kwa saa za Qatar, sawa na saa za Afrika Mashariki.

Michezo ya hatua ya Makundi itamalizika December 02, 2022, huku raundi ya hatua ya 16 Bora ikitarajiwa kuchezwa kati ya December 03 hadi 06, 2022.

RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA QATAR 2022

Aidha Mashabiki watapata Mapumziko kwa siku tatu, kabla ya kushuhudia Michezo ya Robo Fainali, ambayo itapigwa December 09 na 10

Fainali hizo zitakuwa na mzuka wa Krismasi, ambapo hatua ya Nusu Fainali itapigwa December 13 na 14, huku Fainali ikitarajiwa kufanyika December 18, 2022 kwenye Uwanja wa Lusail, saa 12 jioni.

Mechi zote hizi zitakuwa LIVE kwenye App yetu ya Nijuze Habari idownload sasa HAPA Kutazama Mechi zote kiganjani Mwako

Tazam hapa chini ratiba Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia

RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022

FAHAMU Kampuni ambazo timu moja haichani mkeka wako

FAHAMU Kampuni ambazo timu moja haichani mkeka wakoJambo ambalo linaumiza Sana kwa wawekezaji wa michezo ya betting ni kuona timu moja inakukosesha Pesa kwa kuwa Matokeo yalienda tofauti na ulivyo tabiri huku timu nyingine katika mkeka zikienda vyema.

Chaguo la Cash out bado halitoshi kuokoa mikeka yako hivyo katika makala hii nimekuorodheshea Kampuni ambazo hata ukipoteza Mechi yako katika tiketi yako bado utalipwa na kuhesabika kuwa umeshinda.

Kampuni hizo ambazo kulost timu moja hakukuchanii mkeka ni hizi hapa chini;

  • Gal sport Tanzania kupita Gal sport unaweza kuokoa mkeka wako kwa asilimia 50% pale timu moja itakapoenda ndivyo sivyo katika mkeka wako, kujiunga na Gal sport Tanzania Bofya HAPA

Muhimu kila kampuni huwa na vigezo na masharti yake hivyo ni vyema kuangalia katika kampuni husika.

Mpaka hapo utakuwa unaweza kuokoa mikeka yako unayochanwa na timu moja.

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

FAIDA YA KUWA NA NIJUZE HABARI APPUkiwa na App hii utapata Kutazama Mubashara Mechi za Tanzania na nje ya Tanzania kwa kuchagua Category ya MECHI LIVE kwenye App yetu.

Pia utaweka kutazam habari na Matukio mbali mbali Mubashara masaa 24 kutoka Channel za TBC ONE, CHANNEL TEN, STAR TV, EATV, ABOOD TV na nyinginezo.

Wapenzi wa MUZIKI wataweza kutazama Mubashara nyimbo mpya na za zamani kwa masaa 24 kutoka Tanzania na nje ya Tanzania kupitia Channel za TBC TWO, SANYUKA TV, TV 47, AFRO BEAT na nyinginezo.

Aidha kwenye Category ya DINI utapata Kutazama Mubashara Kiganjani mwako Channel ya IBN, Channel ya Nabii Mwamposa (A RISE AND SHINE) pamoja na ABOOD TV.

Kwa Upande wa Kusikiliza Radio, tumekuwekea radio za CLOUDS FM, EA RADIO, UFM na BONGO FLEVA kwaajili nyimbo zote mpya na zamani.

Nijuze Habari bado tunaendela kuongeza Channel na habari kwenye App yetu ili kukupa kilicho bora zaidi, hivo endelea kuwa na App yetu update yoyote mpya.

Sambaza App yetu kwa ndugu jamaa na marafiki, waibie hii siri ili wasipitwe na burudani hizi moto moto.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD BURE KUTAZAMA MUBASHARA TAARIFA ZOTE.

DOWNLOAD App Yetu Mpya Kutazama Mechi Mubashara, Magazeti ya Kila Siku asubuhi Pamoja Na Habari Nyingine Nyingi.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona Matokeo na Ratiba ya ligi zote kubwa Duniani.

world cup 2022, RATIBA Kamili Kombe la Dunia Qatar 2022, Ratiba ya mechi za kombe la dunia 2022 , Ratiba ya Kombe la Dunia 2022, Makundi ya Kombe la Dunia 2022, Ratiba ya Nusu Fainali Kombe la Dunia 2022, Ratiba ya Robo Fainali Kombe la Dunia 2022, Ratiba ya Makundi Kombe la Dunia 2022, Ratiba ya 16 Bora Kombe la Dunia 2022, Ratiba ya Fainali Kombe la Dunia 2022.

The post RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz