MIPANGO ya Yanga Kuelekea Mechi ya Simba SC October 23, 2022. - EDUSPORTSTZ

Latest

MIPANGO ya Yanga Kuelekea Mechi ya Simba SC October 23, 2022.

MIPANGO ya Yanga Kuelekea Mechi ya Simba SC October 23, 2022.

MIPANGO ya Yanga Kuelekea Mechi ya Simba SC October 23, 2022.

Yanga vs Simba October 23 2022, Simba SC vs Yanga SC, Yanga vs Simba 23 October 2022, Simba Sports Club vs Young Africans SC 23 October 2022, Simba SC vs Yanga SC NBC Premier League, Yanga vs Simba  Yanga Ligi Kuu, Yanga vs Simba watani wa Jadi, Matokeo Simba vs Yanga October 23 2022, Kariakoo Derby, Dar es Salaam Debry 23 October 2022, Derby ya Dar es Salaam Simba SC vs Yanga SC, Yanga vs Simba October 23 2022, Simba Sports Club vs Young Africans SC October 23 2022, Yanga SC vs Simba SC 23 October 2022.

MIPANGO ya Yanga Kuelekea Mechi ya Simba SC October 23, 2022.

MIPANGO ya Yanga Kuelekea Mechi ya Simba SC October 23, 2022.

KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga SC, Cedric Kaze amesema kuwa wanafanya maandalizi kabambe kuhakikisha wanashinda mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023) dhidi ya Simba SC unaotarajiwa kupigwa Jumapili hii ya October 23,2022.

Kaze amesema kuwa wanafahamu kwa kiasi gani mashabiki wao wameumia baada ya kushindwa kutimiza malengo kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2022/2023).

Matokeo ambayo kwa kiasi kikubwa pia yamewaumiza wachezaji ambapo Kaze amebainisha kuwa wamelazimika kuzungumza nao ili kuwaweka sawa kisaikolojia.

Kaze ameongeza kuwa wataingia katika mchezo dhidi ya Simba kwa nguvu wakiwa na lengo ya kuondoka na alama tatu zote.

The post MIPANGO ya Yanga Kuelekea Mechi ya Simba SC October 23, 2022. appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz