MGUNDA tupo tayari, Wanne kuikosa Azam FC - EDUSPORTSTZ

Latest

MGUNDA tupo tayari, Wanne kuikosa Azam FC

MGUNDA tupo tayari (Mzizima Derby) Wanne kuikosa Azam FC

MGUNDA tupo tayari, Wanne kuikosa Azam FC

Azam FC vs Simba SC October 27 2022, Matokeo Azam FC vs Simba Sports Club , Matokeo Simba SC vs Azam FC 27 October 2022, Matokeo Simba vs Azam 27 October 2022, Simba vs Azam NBC Premier League, Matokeo ya Azam FC vs Simba SC Ligi Kuu, Simba vs Azam FC, Matokeo Azam FC vs Simba SC October 26 2022, Simba SC vs Azam FC NBC Premier League 2022/2023, Azam vs Simba October 27 2022, Simba SC vs Azam FC October 27 2022, Azam FC SC vs Simba 27 October 2022, Live Updates Simba SC Azam FC, Live Simba SC vs Azam FC October 27 2022.

MGUNDA tupo tayari (Mzizima Derby) Wanne kuikosa Azam FC

MGUNDA tupo tayari (Mzizima Derby) Wanne kuikosa Azam FC

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Juma Mgunda kuwa amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC yamekamilika na Wachezaji na wako kwenye hali nzuri kupigania alama tatu Leo.

Mgunda amesema mchezo utakuwa mgumu sababu unakutanisha timu bora ila wamechukua tahadhari zote kwa kuwa lengo ni kuhakikisha wanachukua pointi zote 3.

Mgunda ameongeza kuwa katika mchezo wa huo Simba itawakosa Wachezaji wanne ambao ni Sadio Kanoute, Israel Patrick Mwenda na Jimmyson Mwanuke ambao ni majeruhi wakati Mzamiru Yassin akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

“Maandalizi ya mchezo yamekamilika, tunajua itakuwa mechi ngumu, tunaiheshimu Azam ni timu bora lakini tupo tayari kupambana hadi mwisho,” amesema Mgunda.

Shomari Kapombe arejea Simba SC

Shomari Kapombe arejea Simba SC

Habari njema kwa Mashabiki wa Simba SC ni kurejea kwa beki wake wa kulia Shomari Salum Kapombe ambaye alikuwa nje kwa muda kutokana na kuwa majeruhi.

Yusuf Bakhresa afanya Kikao na benchi la Ufundi la Azam FC

Yusuf Bakhresa afanya Kikao na benchi la Ufundi la Azam FC

Katika hatua nyingine, Mmiliki wa Klabu ya Azam FC Yusuf Bakhresa Jana Jumatano alikutana na Wachezaji, Benchi la ufundi na viongozi wote.

Yusuf Bakhresa afanya Kikao na benchi la Ufundi la Azam FC

Yusuf Bakhresa afanya Kikao na benchi la Ufundi la Azam FC

Bosi huyo, alifanya kikao na benchi zima katika kubadilisha mawazo na Wachezaji, kuweka mikakati ya ushindi na kuwatakia kila la Kheri kuelekea Mchezo wa wa Leo Alhamisi ya October 27 2022 dhidi ya Simba SC.

Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Leo Alhamisi ya October 27,2022 kuanzia saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari pua itakuletea Kikosi Cha Simba SC Kinachoanza dhidi ya Azam FC mapema iwezekanavyo, pamoja na Kikosi Cha Azam FC kitakachoanza dhidi ya Simba SC.

KUONA Kikosi Cha Simba SC Bofya HAPA na kuona KIKOSI Cha Azam FC Bofya HAPA

Kuona Matokeo ya Mchezo huo Kati ya Azam FC vs Simba SC Bofya HAPA.

The post MGUNDA tupo tayari, Wanne kuikosa Azam FC appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz