SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri ya M-BET imeingia Mkataba wa miaka mitano na Klabu ya Simba kwaajili ya kuidhamini timu ya wanawake ya Simba Queens.

Mkataba huo utakuwa na thamani ya Sh bilioni moja ambapo kila mwaka Queens itakuwa inapokea kitita cha Sh Milioni 200.

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

Mtendaji Mkuu wa Klabu, Barbara Gonzalez amesema kuwa kwa sasa Queens ni bidhaa bora sokoni ndiyo maana imeanza kusimama yenyewe kusaini mkataba bila kutegemea mgongo wa timu ya wanawaume.

“Kama nilivyowahi kusema awali Simba Queens ni bidhaa bora, kwa miaka mitano tumekuwa tukifanya vizuri leo tumeingia katika historia na kuwa timu ya kwanza ya wanawake kuwa na wadhamini binafsi, amesema Barbara.

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet, Allen Mushi ameyaomba makampuni mengine kujitokeza kuwekeza kwa timu za wanawake kwa kuwa soka lake linazidi kupanda kila kukicha.

“Simba Queens inaendelea kufanya vizuri na inastahili kupata udhamini, sisi kama M-Bet tuliweka wazi nia ya kuwekeza kwenye soka tumeanza kwa wanaume sasa tumekuja huku kwa wanawake,” amesema Allen.

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania

Queens itavaa jezi zenye nembo za M-Bet kuanzia kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo itafanyika nchini Morocco kuanzia October 30, 2022.

The post SIMBA Queens yaingia Mkataba na M-BET Tanzania appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post