Kocha Club Africain atuma salamu Young Africans - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Club Africain atuma salamu Young Africans

KOCHA Club Africain atuma salamu Young Africans

Kocha Club Africain atuma salamu Young Africans

Wapinzani wa Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023, CAF Confederations Cup 2022, Timu zitakazokutana na Yanga SC Kombe la Shirikisho 2022/2023, CAF Confederation Cup 2022/2023, Makundi ya CAF Confederation Cup, Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2022/2023, Yanga yatupwa Tunisia CAF Confederation Cup.

KOCHA Club Africain atuma salamu Young Africans

KOCHA Club Africain atuma salamu Young Africans

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Aficain ya nchini Tunisia, Bertrand Marchand ametamba kuwa Wachezaji wake wako tayari kupambana na wapinzani wao kwenye Mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano wa kombe la shirikisho Barani Afrika.

Klabu ya Young Africans itakuwa mwenyeji kwenye Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa November 02 2022 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

WAFAHAMU Club Africain Wapinzani wa Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023

Baada ya Mchezo huo, Young Africans SC itaelekea Tunisia kwaajili ya mchezo wa Marudiano utakaopigwa November 09, 2022 kwenye Uwanja wa Stade Olympique de Radès wenye uwezo wa kubeba Mashabiki 60,000 sawa na Benjamin Mkapa.

Bertrand ambaye ni raia wa Ufaransa akiwa na umri wa miaka 69 amesema kuwa licha kuwa wapinzani wao Young Africans si timu ya kubeza na anaheshimu ubora wa kikosi walichonacho lakini hawaoni kikwazo cha wao kutofika hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho msimu huu wa 2022/2023.

RATIBA ya Mechi za Yanga msimu wa 2022/2023

Bertrand ameongeza kwa kusema kuwa “Kwetu sisi hautakuwa mchezo rahisi kucheza nao, tunajipanga ili kukabiliana nao katika michezo yote miwili, ninaamini mchezo utakua mgumu na mzuri tukianzia ugenini na tutamalizia hapa nyumbani Tunis.”

Club Africain ilitinga hatua hiyo ya mtoano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Kipanga FC ya Zanzibar jumla ya mabao 7-0, huku Young Africans ikishiriki hatua hiyo kufuatia kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Matokeo ya jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal Omduraman ya Sudan.

Sambamba na hili Kampuni Bora ya kubet Tanzania SOKABET inakukaribisha kuweka bashiri zako katika Michezo Mbalimbali kama LIVE Casino, Slots, Zeppelin, Virtual Game, Basketball na Mpira wa Miguu.

Faida ya kuweka bashiri zako kupitia SOKABET ni upatikanaji wa Bonusi za Viwango, kama 100% kwa wekezo la kwanza, 10% kwa Casino na Mpira wa Miguu Pamoja na Multibonus hadi 750.

Sehemu pekee ya kupiga pesa kiurahisi na kufanya miamala kwa haraka zaidi ni SOKABET the best sports Betting in Tanzania.

The post Kocha Club Africain atuma salamu Young Africans appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz