SAKHO MCHEZAJI BORA, MOALIN KOCHA BORA LIGI KUU JUNI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SAKHO MCHEZAJI BORA, MOALIN KOCHA BORA LIGI KUU JUNI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI Msenegal wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa kuhitimisha msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Juni huku Abdilhamid Moalin wa Azam FC akiwa Kocha Bora.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz