elru87tYGBGEm KARIA NA KIDAU WAITEMBELEA KILIMANJARO QUEENS UGANDA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

KARIA NA KIDAU WAITEMBELEA KILIMANJARO QUEENS UGANDA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo na Katibu wake, Wilfred KIDAU wametembelea kambi ya timu ya taifa ya wanawake ya Bara, Kilimanjaro Queens kuelekea na kuzungumza na wachezaji kuelekea mchezo kutafuta mshindi wa tatu mashindano ya CECAFA Jumamosi nchini Uganda.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz