MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Mzambia Rodgers Kola amefiwa na baba yake mzazi, Damiano Kola Senior nchini kwao, Zambia.
Taarifa ya Azam FC imesema; "Kwa niaba ya Bodi, viongozi, wafanyakazi na mashabiki wa Azam FC, kwa masikitiko makubwa tunapenda kutuma salamu za rambirambi kwa familia ya mshambuliaji wetu, Rodgers Kola baada ya kufiwa na baba yake mzazi, Damiano Kola Senior.l,".
No comments:
Post a Comment