SONGWE: Wauguzi Wadaiwa Kusababisha KIFO Cha Mtoto Mchanga Kwa Uzembe - EDUSPORTSTZ

Latest

SONGWE: Wauguzi Wadaiwa Kusababisha KIFO Cha Mtoto Mchanga Kwa Uzembe

Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma wanatuhumiwa kusababisha kifo cha Mtoto Mchanga kwa mazingira ya uzembe

Mama wa Mtoto amesema “Nilipopata uchungu sikupatiwa huduma nzuri. Wakaja Wauguzi Wanafunzi ambao hawakunihudumia vizuri licha ya kuwaita mapema. Mtoto alizaliwa salama, wakamchukua na kumrejesha asubuhi akiwa na jeraha kichwani na analia sana”

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Fakh Lulandala ameagizwa kuunda Timu ya Kuchunguza tukio hilo kwa kuwa siyo mara ya kwanza kupokea malalamiko ya Wananchi kuhusu hospitali hiyo





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz