Mwanza: Mrembo Auawa na Mumewe, yadaiwa Alipigwa Risasi 7 kichwani, Sababu ni Hii *Exclusive Details - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanza: Mrembo Auawa na Mumewe, yadaiwa Alipigwa Risasi 7 kichwani, Sababu ni Hii *Exclusive Details


Ni msiba mkubwa jijini Mwanza. Mwanamke maarufu jijini humo aitwaye Swalha, ameuawa kwa kupigwa na risasi na mumewe usiku wa kumkia Jumapili ya May 29. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa wanandoa hao huko Buswelu.

VIDEO:Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz