NI WYDAD CASABLANCA MABINGWA AFRIKA 2022-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

NI WYDAD CASABLANCA MABINGWA AFRIKA 2022-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Wydad Athletics wamefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya waliokuwa mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Mfalme Mohamed V Jijini Casablanca nchini Morocco.
Mabao yote ya Wydad yamefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Morocco, Zouheir El-Moutaraji mwenye umri wa miaka 26, moja kila kipindi, la kwanza dakika ya 15 na la pili dakika ya 45.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz