EVERTON YAICHAPA CHELSEA 1-0 GOODISON PARK-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

EVERTON YAICHAPA CHELSEA 1-0 GOODISON PARK-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO pekee la mshambuliaji Mbrazil, Richarlison de Andrade dakik ya 46, limetosha kuipa Everton ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili Uwanja wa Goodison Park, Liverpool.
Everton inafikisha pointi 32 Katika mchezo wa 33, ingawa inabaki katika nafasi ya 18, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 66 za mechi 34 nafasi ya tatu.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz