MAN UNITED YAICHAPA BRENTFORD 3-0 OLD TRAFFORD -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN UNITED YAICHAPA BRENTFORD 3-0 OLD TRAFFORD -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Brentford City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Old Trafford.
Mabao ya Manchester United yamefungwa na Bruno Fernandes dakika ya tisa, Cristiano Ronaldo kwa penalti dakika ya 61 na Raphael Varane dakika ya 72 na kwa ushindi huo, Mashetani hao Wekundu wanafikisha pointi 58 katika mchezo wa 36, ingawa wanabaki nafasi ya sita wakizidiwa pointi tatu na Tottenham Hotspur ambayo pia ina mechi mbili mkononi.
Brentford wao wanabaki na pointi zao 40 za mechi 35 nafasi ya 14.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz