Wahuni Wajaribu Kuidukua Account ya YouTube ya Diamond Platnumz - EDUSPORTSTZ

Latest

Wahuni Wajaribu Kuidukua Account ya YouTube ya Diamond Platnumz


Wadukuzi /wahalifu wa mtandaoni (hackersšŸŽ­) usiku wa kuamkia leo walijaribu kudukua youtube channel ya mwanamuziki na CEO wa record label ya WcB Wasafi @diamondplatnumz ,kwa kubadisha jina na utambulisho wa picha/ profile picture wakitumia logo ya kampuni ya Tesla ya tajiri namba moja duniani #ElonMusk.

Hata hivyo Zoezi hilo halikufanikiwa kudumu kwa muda mrefu kwani account hiyo ilifanikiwa kurudi kwenye hali yake.

Cc✍️ @keviiiy.iam


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz