Trouble in Paradise..Mama Dangote Amu Unfollow Zuchu Instagram, Hataki Kumsikia - EDUSPORTSTZ

Latest

Trouble in Paradise..Mama Dangote Amu Unfollow Zuchu Instagram, Hataki Kumsikia
Wakati penzi la msanii Diamond Platnumz na Zuchu likiendelea kuchanua kila leo, Mama Dangote, Mama mzazi wa Diamond Platnumz ni kama bado hajataka kubariki jambo hilo. Kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye followers milioni 4.8M na following 56 (kabla), Mama Dangote amempunguza Zuchu na kubaki na watu 55 pekee aliowafollow kwenye ukurasa wake huo.

Watabiri wa “mtaachana tu”, mnasemaje?😁
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz