Mwanadada Aliyefanya Arusi ya Watu Saba Sebuleni Afunguka "Arusi Sio Kitu Ghali Mnacomplicate Mambo tu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanadada Aliyefanya Arusi ya Watu Saba Sebuleni Afunguka "Arusi Sio Kitu Ghali Mnacomplicate Mambo tu"


Mwanadada huyo amejitosa kupost picha za harusi yake iliyofanyika sebuleni kwao ambapo takribani watu saba tu ndio walialikwa kuhudhuria


Amesema harusi hata sio kitu ghali kama wengi wanavyodhani au kuaminishwa labda kama unafanya harusi ili kujionesha na kufurahisha watu
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz