Mashabiki wamjia juu Keita kwa kujichubua - EDUSPORTSTZ

Latest

Mashabiki wamjia juu Keita kwa kujichubuaMchezaji wa timu ya taifa ya Senegal, Keita Balde awashangaza mashabiki wa soka nchini kwao kwa kubadilisha muonekano wake na kuwa mweupe tofauti na mwanzo alivyokuwa.

Keita Balde mwenye umri wa miaka 26 mchezaji wa Cagliari inayoshiriki ligi ya Seria A nchini Italia, alizaliwa nchini Spain na wazazi weusi wenye asili ya Senegal. Keita alichagua kuwakilisha taifa la Senegal walikotekea wazazi wake na kucheza mechi ya kwanza na timu ya taifa March 16, 2016.

Keita amekuwa gumzo katika michuano ya AFCON mwaka huu nchini Cameroon mashabiki wakimsema katika mitandao ya kijamii kwa kujibadilisha muonekano.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz