Gigy Money Atema Nyongo Kwa Wanaomsema Vibaya "Utazani wao ni Malaika Kutoka Mbinguni" - EDUSPORTSTZ

Latest

Gigy Money Atema Nyongo Kwa Wanaomsema Vibaya "Utazani wao ni Malaika Kutoka Mbinguni"


Mwanamama mtata kunako Bongo Flevani, Gift Stanford almaarufu Gigy Money, anasema kuwa, asilimia kubwa ya watu wanaokesha kumsema vibaya mitandaoni kuwa anapenda kujichetua, hawayajui maisha.

Akichezesha taya na Gazeti la IJUMAA, mwanamama huyo anaeleza kwamba, maisha ni fumbo zito mno na kila mtu ana lake hivyo hao wanaosema anajichetua mitandaoni, waache waendelee kuongea kwa sababu kujichetua kwake ndiyo kunamfanya yeye na familia yake waweze kuingiza tonge mdomoni.

Kuna watu wanakaa kusema wenzao utadhani wao ni malaika, kwamba hawana kasoro hata moja, wengi wanaonisema vibaya mitandaoni bado hawajajua nini maana ya maisha, kuna muda huwa najichetua mitandaoni ili kujipa tu furaha ambayo nimeoikosa kwa watu ninaowategemea


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz