Vijana UVCCM msitumiwe –Rais Samia - EDUSPORTSTZ

Latest

Vijana UVCCM msitumiwe –Rais SamiaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka vijana wa chama hicho kutokubali kutumiwa na kusababisha mpasuko ndani ya chama hicho.

Akizungumza katika Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Rais Samia amewataka vijana hao kutokuwa ngazi kwa kudanganywa kifedha.

"Mwaka huu ni wa uchaguzi, uzoefu unaonesha vijana mnageuzwa ngazi sana, mnadanganywa na vifedha vidogo na tamaa za nafasi, mnainamishwa migogo na wanapanda juu ya migogo yenu, kama wote mnaowabeba wangefanya kazi, changamoto zenu zisingekuwepo"- Rais Samia.  

Rais Samia amesema  "Msitoe fursa kutumiwa kukipasua chama. Jeuri yenu, majidai yenu, kwenda kwenu kifua mbele ni kwa sababu chama kiko ima
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz