Foby Amkataa Marioo "Hawezi Kuwa King of New Generation Bongo Huku Anaomba Amapiano" - EDUSPORTSTZ

Latest

Foby Amkataa Marioo "Hawezi Kuwa King of New Generation Bongo Huku Anaomba Amapiano"


HitMaker wa ngoma ya Ode' @fobyofficial amefunguka kuwa mkali wa ngoma ya Beer tamu Toto bad @marioo_tz hawezi kuvikwa taji la mfalme wa muziki wa kizazi kipya /bongofleva (king of new generation) tanzania.

Kupitia mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni, mwanamuziki huyo amedai kwamba msanii huyo hawezi kuwa mfalme wa muziki wa kizazi kipya/bongofleva ikiwa anaimba muziki wa Amapiano, kwakuwa mfalme anatakiwa kukuza na kufanya mziki husika (bongofleva) na si muziki kutoka tamaduni nyingine.

→Unadhani ni msanii gani kwa sasa anafaa kupewa taji la King of New Generation kwenye muziki wa Bongofleva..?

C©✍🏾@keviiiy.iam

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz