Fahyma: Sasa Hivi Mimi Mke wa Mtu - EDUSPORTSTZ

Latest

Fahyma: Sasa Hivi Mimi Mke wa MtuMWANAMAMA Fahyma ambaye ni baby mama wa msanii Rayvanny amevunja ukimya baada ya kuulizwa juu ya ahadi yake kwamba mwaka 2021 usingepinduka bila kuolewa.

Fahyma ameulizwa; “Fahyma vipi kuhusu ile harusi uliyotuahidi?

Fahyma amejibu; “Tayari bwana, sasa hivi mimi ni mke wa mtu…”

Baada ya kumwagana na Rayvanny ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa kiume, Fahyma ambaye ni mwanamitindo aliahidi kwamba, mwaka 2021 hautamalizika bila kufunga ndoa, lakini umepita kimya wala hajafunga ndoa yoyote.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz