Hatimaye Imekuwa Rasmi Sasa, Mwanamuziki Country Boy Amejiondoa Konde Gang - EDUSPORTSTZ

Latest

Hatimaye Imekuwa Rasmi Sasa, Mwanamuziki Country Boy Amejiondoa Konde Gang


Rasmi Amemaliza Mkataba Na Label Yake Ya Zamani #KondeGang Baada Ya Kuwa Katika Label Hiyo Kwa Muda Kidogo

Ukurasa Rasmi Wa Label Hiyo Umethibitisha Taarifa Hiyo Kwa Kuandika............"TAARIFA: Mkataba Kati Ya Konde Music Worldwide Na @countrywizzy_tz Umemalizika Hii Leo Tar 8 January 2022.

Kuanzia Leo Country Wizzy Atakuwa Msanii Anaejitegemea Baada Ya Kufikia Makubaliano Ya Pande Zote Mbili.

Konde Music Worldwide Inamtakia Kila Lenye Kheri Country Wizzy Kwenye Career Yake Ya Music Pamoja Na Maisha Kwa Ujumla 🙏

All the Best Wizzy!! #Kondegang4U






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz