Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Hamisa Mobetto Wakimbiza Kwa Followers - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Hamisa Mobetto Wakimbiza Kwa FollowersWasanii nyota nchini Diamond Platnumz (mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo na mfanyabiashara), Wema Sepetu (mwanamitindo, mjasiriamali na muigizaji) pamoja na Hamisa Mobetto (mwanamuziki, mjasiriamali na mwanamitindo) ndiyo wasanii wanaokimbiza kwa kuwa na wafuasi wengi katika mtandao wa Instagram.

Imekuwa ni kawaida kwa wasanii wengi kutambiana namba kubwa za mashabiki zao katika mitandao ya kijamii kwani hio inaonyesha ukubwa wao na jinsi wanavyofuatiliwa zaidi kukiko wengine.

Kibongobongo Instagram ni mtandao ambao una nguvu zaidi na watu wengi wanautumia.

Nyota hao watatu wanakimbiza kwa kuwa na wafuasi wengi zaidi Diamond akikamata nafasi namba moja kwa kuwa na wafuasi milioni 13.9, Wema Sepetu akikamata nafasi ya pili akiwa na wafuasi milioni 9.3 huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Hamisa Mobetto akiwa na wafuasi milioni 9.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz