Baada ya Muda Mrefu Atimaye Sonia Amposti Paula Kwenye Page Yake - EDUSPORTSTZ

Latest

Baada ya Muda Mrefu Atimaye Sonia Amposti Paula Kwenye Page Yake


Baada ya muda mrefu kupitia huku kukiwa na maneno yanayo dai kwamba huenda kuna tofauti baina yao kati @soniamonalisa na @therealpaulahkajala hatimae mtoto wa muigizaji monalisa 'Sonia ameshare picha ya pamoja akiwa na mtoto wa muigizaji Kajala masanja #Paula, jambo ambalo halikutegemewa katika kipindi cha hivi karibuni.

Kupitia insta story ya Mrembo huyo ambae yupo nchini Ukraine kimasomo, aliweza kumjibu shabiki aliemtaka kupost #Paula na kumuandika ujumbe mzuri, jambo ambalo alilifanya na kuandika "siblingha" akimaanisha "ndugu"

Wawili hao ambao walitajwa kama mrafiki kufuatia kusoma shule moja kabla ya kumaliza kidato cha nne, mara kadhaa wametajwa kutokua na maelewano mazuri kufuatia maneno na mambo ya mitandaoni yaliyokua yakiwashindanisha kitaaluma na malezi binafsi ya wazazi wao, huku kila mmoja akikwepa kumzungumzia mwenzake.

C©✍🏾@keviiiy.iam


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz