Ndege Kutoka Tanzania Kutoruhusiwa Kutua Dubai Kuanzia Kesho



Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka #Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa Visa vya #Omicron

Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka abiria wake katika nchi zilizozuiwa

Raia wa UAE, ndugu zao wa karibu na Wajumbe wa Diplomasia watatakiwa kukaa karantini siku 10. Watatakiwa kupima #COVID19 siku ya 9



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post