Mtangazaji kutoka wasafi media Lil Ommy Awataja Zuchu na Marioo Kama Wasanii Bora Mwaka Huu - EDUSPORTSTZ

Latest

Mtangazaji kutoka wasafi media Lil Ommy Awataja Zuchu na Marioo Kama Wasanii Bora Mwaka Huu


Mtangazaji kutoka wasafi media Omary Tambwe Lil Ommy ametoa orodha yake ya wasanii waliofanya vizuri zaidi kwa mwaka huu 2021 katika muziki wa bongofleva

Katika orodha hiyo aliyoipa jina la Nyota Wa Mchezo 2021 mtangazaji huyo amemtaja mwanamuziki @officialzuchu kama msanii bora wa kike huku @marioo_tz akimtaja kama msani bora wa kiume kwa mwaka 2021 tanzania

Mbali na wasanii hao pia mtangazaji huyo ametoa mfululizo wa orodha nyingine kama msanii bora chipukizi, msanii bora wa rap wa kike/kiume n.k.

#SwahiliMedia
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz