Mwijaku Atoa Boko Lingine "Simtambui TENA Vunja Bei, Vikao vya Harusi ya Mobetto Vinaendelea ila Muoaji ni Rick Ross" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwijaku Atoa Boko Lingine "Simtambui TENA Vunja Bei, Vikao vya Harusi ya Mobetto Vinaendelea ila Muoaji ni Rick Ross"


Mwijaku amedai yeye ni kaka mtu,na anaangalia moyo wa dada yake unamtaka nani, hivyo licha ya kusema kuna vikao vya harusi vinaendelea kati ya Hamisa Mobetto na @fred_vunjabei ,kama kaka anatoa tamko kuwa vikao hivyo vitaendelea ila kwaajili ya harusi ya @richforever (Rick Ross) na Hamisa Mobetto.

Akiwa kwenye Leo Tena ya Clouds Fm, Mwijaku amedai, kwanza Rick Ross ni msanii mkubwa, ni maarufu na ana pesa sana,na kwa mujibu wa Hamisa ni kuwa Rick Ross anajua kujali hivyo kama kaka amepitisha Mobetto kuwa na Rick Ross😁

Sema Mwijaku,tunamgawa Kenya
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz