Kibibi wa Huba "Wanaume Wanaogopa Kunitongoza" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kibibi wa Huba "Wanaume Wanaogopa Kunitongoza"


"Pamoja na kuwa ni Staa kwa sasa ila sipati usumbufu wa aina yoyote. Ninachoweza kusema pengine naogopeka (watu wananiogopa) kiufupi wanaume wananiogopa!"

"Kule DM wengi wanaokuja wananipongeza kwa kazi ninayoifanya" @official_getrudemwita, 'Kibibi' Mwigizaji tamthilia ya Huba.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz