Kibibi' Mwigizaji Tamthilia ya Huba Ndani ya Penzi na Millard Ayo, Afunguka - EDUSPORTSTZ

Latest

Kibibi' Mwigizaji Tamthilia ya Huba Ndani ya Penzi na Millard Ayo, Afunguka


"Sina Uhusiano na @millardayo, ni Mtangazaji ninayemkubali sana. Nilikwenda kwake kwa ajili ya Interview ambayo tulikuwa tunapanga muda mrefu nikakutana naye ofisini nikaomba kupiga naye picha kwa mara ya kwanza alikubali ikaishia hapo" @official_getrudemwita, 'Kibibi' Mwigizaji tamthilia ya Huba.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz