Diva the Bawse "Nisikie Mtu Anamsema Boss Wangu, Nina Drive Ndiga Kali Kwa Ajili yake" - EDUSPORTSTZ

Latest

Diva the Bawse "Nisikie Mtu Anamsema Boss Wangu, Nina Drive Ndiga Kali Kwa Ajili yake"Kutokana na yanayoendelea kati ya Mondi na Harmo Diva Ameandika Haya :

"Nisikie mtu anamsema Boss wangu .. Mtu na Nusu Mwenye Pepo Yake Boss Wa Kwanza na Pekee Tanzania Nzima .. aah raha Jamani!.
And Ndio Eeh Njaa Mbaya Ndio
ila Tuna enjoyyyy 😆 tuna drive ndinga kali Brand kubwa Maisha Raha Yan tunaishi Kwa "fablane ...
Ishin umo ...
LEVELS 🔥" Diva
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz