Hatimaye Diamond Platnumz Nae Aamua Kumu Un follow Harmonize - EDUSPORTSTZ

Latest

Hatimaye Diamond Platnumz Nae Aamua Kumu Un follow Harmonize
Siku kadhaa zilizopita miongoni mwa story kubwa ilikuwa kuhusu msanii na C.E.O wa Konde Music Worldwide @harmonize_tz kumuondoa msanii na boss wake wa zamani @diamondplatnumz kwenye orodha ya wasanii aliowafuata (follow) kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Sasa rasmi #Diamond Platnumz na yeye amemuondoa Harmonize kwenye orodha ya watu aliowafuata (follow) kwenye ukurasa wake wa Instagram, amebakiza watu 1,140 aliowafata kwenye Instagram.


HABARI KAMA  HIZI UNAZIPATA KUTOKA APP YA UDAKU SPECIAL PEKEE  DOWNLOAD  HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO
Hatua hiyo inakuja baada ya Harmonize kuwa amemfollow mtu mmoja tu kwenye ukurasa wake wa Instagram ambaye ni mpenzi wake mpya, pia akiwa ametoka kumsema maneno kibao Diamond na watu wake kuhusu uhusiano wao ulivyokuwa kwa miaka kadhaa iliyopita.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz