Breaking News:Hamisa Mobetto na Rick Ross ni Wapenzi..Wadhibitisha Kwa Video Hii ya Mabusu


Unaambiwa Mnyamwezi Rick Ross (@richforever) kajipata kwa Mtoto wa Kitanzania @hamisamobetto

Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Wajirekodi wakiwa Club huko Dubai Wakicheza pamoja huku wakipigana mabusu moto moto, sasa zile harakati za kupostiana na kukomentiana Instagram hatimaye zimejibu.. Ni Wapenzi

Tazama Video Hapa Chini




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post